PICHA YA KIJANA ALIYE LIWA NYAMA YA USO HII HAPA

Picha ya kijana aliye liwa uso na bosi wake
Picha ya kijana aliyeliwa nyama ya uso na bosi wake ambaye alikuwa akimchungia Ng'ombe huko kigoma, na ndiyo habari ya mwisho aliyo andika marehemu Isaa Ngumba (45) mwandishi wa Habari aliye uwawa kwa kunyongwa wiki iliyo pita huko Kigoma


Kifo cha Mwandishi huyo kina husishwa na Habari ya mwisho aliyo ripoti ya kijana mmoja aliye liwa nyama ya usowake na bosi wake ambaye alikuwa akimfanyia kazi ya kufuga ng'ombe




Tarifa kutoka kwa, Mwenyekiti wa klabu ya waandishi wa habari Kigoma (KPC) Deo Sonkolo marabaada ya kupata taarifa ya kifo cha mwandishi huyo waliweza kuwahi hospitali ilikuhudhuria uchunguzi wa mwili wa mwenzao

"Sisi tuinaelekea wilaya ya kokonko toka Kigoma mjini lakini Bastola iliyotumika kwenye mauaji haijafahamika iwapo ilikuwa inamilikiwa na nani, kwani majibu ya daktari inaonekana marehemu kanyongwa shingo na kupigwa risasi mkononi" alisema Sonkol


Tarifa ya Polisi inasema, Marehemu Ngumba aliuwawa kwa kunyongwa na kisha kupigwa risasi mkononi, na baadae risasi na simu mbili za mkononi za marehemu kuachwa kando ya mwili wake,


Hatahivyo Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma, limeanza upelelezi wa kutambua chanzo kilicho sababisha kifo cha mwandishi wa Habari Issa Ngumba wa kituo cha Radio Kwizera wa wilaya ya Kakonko iliyoko mkoani humo

Habari kwa hisani ya
www.habarimpya.com 

1 comments:

Tusihusishe kifo cha Brother Ngumba na tukio la habari aliyoiandika November 24 mwaka jana hapa kwetu, lazima tutambue kuwa aliyekula nyama ya mfanya kazi wake wa kuchunga ng'ombe Bw Iman Paulo tayari yuko mahabusu na kesi yake inaendelea mahakama ya wilaya ya Kibondo na yule kijana aliyeliwa nyama za uso wake hadi kupofuka macho kabisa aliyefahamika kwa jina moja la Susuruka anaendelea kupata matibabu pale Hospitali ya wilaya ya Kibondo, Kigoma, pia habari hii haikuwa ya mwisho kwa Issa Ngumba kuiandika bali ndiyo habari kidogo yenye uzito ambao hata hivyo hauhusiani na mauaji yake, Tusipotoshe Umma wa watanzania na dunia katika msiba huu, Maumivu tunayo lakini isiwe mwanzo wa kuharibu uchunguzi unaoendelea


EmoticonEmoticon