KILICHO MLIZA JAMES MBATIA BUNGENI HIKI HAPA

Mitaala ya Elimu yamliza James Mbatia Bungeni, avua Uanasiasa avaa Uzalendo “ this is above Political level”asema kwa uchungu huku akiomba busara na huruma zitumike kuokoa elimu ya Tanzania

Kaulizake za mgombanisha na Naibu Spika. Kisa anataka kuchukua mamalaka ya Spika, asisitiza kuwa kama mitaala mipya ikiletwa Bungeni yeye atajiuzulu

Aibua uozo juu ya Kitabu cha Mitaala ya Helimu ya Secondari kidato cha nne hadi cha Sita cha Hisabati jinsi kilivyo kosewa...azidi kuomba sana Viongozi wajali watanzania wengi ambao ndio wanasoma shule za Serikali
********************
Naibu Spika Naye akingia kifua Wizara ya Elimu, atumia Vifungu vya kanuni vya Bunge kukataa hoja hiyo kujadiliwa, adai kuwa James Mbatia anataka kuvaa madaraka yake kisa vifungu vya kanuni alivyo soma Mbatia.

Wiliam Lukuzi yeye ampa tiketi ya kujiuzulu baada ya kuahidi kuwasilisha mitaala mipya kabla ya Bunge kimalizika taree 8 February kama Serikali ilivyo ahidi
*********************
Wabunge waamka kumsaidia James Mbatia, wengi wasusia vikao na kutoka nje ya Bunge bila utaratibu maalum
Story ni 
James Mbatia ambaye ni Mwenye kiti wa Chama cha NCCR mageuzi jana aliwasilisha Bungeni hoja Binafsi ya kujadili juu ya Udhaifu uliopo katika Sekta ya Elimu nchini, hoja ambayo imetupiliwa mbali na Naibu Spika wa Bunge Mhe. Job Ndungai nakupelekea Wabunge wote wa Upinzani kukasirika na Kutoka Nje ya Bunge huku wakiacha kikao kikiendelea


EmoticonEmoticon