ASKARI MMOJA HULINDA RAIA 1,156, YATAJWA KUWA NI UPUNGUFU MKUBWA

SERIKALI  IMESEMA  JESHI LA POLISI  LINAUPUNGUFU WA  ASKARI 48,011 JAMBO MBALO LIMESABABISHA  KILA ASKARI MMOJA  KULINDA WATU 1,156  AMBAPO KATIKA UWIANO WA KITAIFA INAPSWA   ASKARI  MMOJA  
KUWALINDA WANANCHI 400 HADI  500.  

HAYO YAAMESEMWA  BUNGENI NA  NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI MH PIERE SILIMA WAKATI  AKIJIBU SWALI LA  MH  HUSSEIN  MUSAA MZEE AMLIYEATAAKA KUJUA ASKARI POLISI MMOJA HAPA NCHINI ANALINDA WANANCHI WANGAPI.

MH SILIMA AMESEMAA  SERIKALI IMEKUWA IKIFANYA JUHUDU  ZA MAKUSUDI KUZIBA PENGO  HILO KWA KUAJIRI   ASKARI  WENGINE LENGO LIKIWA NI  KULIJENGEA   UWEZO  JESHI HILO KATIKA ENEO LA RASILIMALI  WATU.

MATHALANI   IDADIYA   ASKARI  IMEONGEZEKA  
KUTOKA 28,000 MWAKA 2006 HADI 38,000 MWAKA 2012 NA KWA HIVI SASA ZAIDI YA  ASKARI 3000 WANAPATIWA MAFUNZO KATIKA CHUO CHA TAALUMA  YA POLISI MOSHI.


EmoticonEmoticon