MDAHALO WAKWANZA WA WAGOMBEA URAIS WA UCHAGUZI KENYA WAANZA

WANACHI wa Kenya leo watashuhudia mdahalo wa hadhara kati ya wagombea sita wa uraisi katika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo utakayo fanyika march mwaka huu,

Wagombea hao watapata kuuelezea umma wa wakenya nikitugani ambacho watafanya kwaajili ya wakenya kama mwataweza kuibuka kidedea pamoja na kunadi sera zao mbele ya wagombea wenzake 

Blog hii ikiandaa habari hii tayari Televition ya Kenya KBC ilikwisha fika eneo ambalo tukio hilo litafanyika leo jioni, Wagombea watakao gombea nafasi ya uraisi nikama walivyo hapo pichani. Aidha tarifa zinasema kuwa ilitakiwa wawe 8 lakini kutokana nawawili kutotimiza vigezo ni sita tu ndio watahudhuria mdahalo huo


                                         WAGOMBEA URAIS 2013 KENYA HAWA PAHA

The Presidecial Debate 2013, 
Mdahalo huo utafanyika kwa awamu mbili yakwanza ikiwa ni leo 11. 02. 2013 na hawamu ya pili itakuwa 25.02.2013. Lengo la Mdahalo huo, nikuwapa fursa wapiga kura kusikiliza na kutofautisha hoja na malengo yakila mgombea, hii nimara yakwanza kwa nchi hiyo kutumia mfumo huu katika chaguzi zake zilizo pita.

Aidha wachambuzi mbalimbali wamekuwa wakisema uchaguzi wa nchi hiyo utakuwa na ukabila zaidi licha ya wagombea wa Uraii kuhamasisha watu juu ya ummoja na amma

Siku chache zilizopita Rais wa Marekani Barack Obama alituma slamu zake kwa Nchi hiyo kuusiana na Uchaguzi unaokaribia . Brack Obama aliwaomba wakenya wajiepushe na gasia pamoja na vitisho katika uchaguzi mkuu.

Mdahalo huo utafanyika jijini Nairobi katika eneo la Broke House International School

Kenya presidential debate
Hili ndilo eneo ambalo wagombea hao watakaa wakinadi sera zao leo jioni


EmoticonEmoticon