RAISI ATAKAYE SHINDA UCHAGUZI WAKENYA MACHI MWAKA HUU KULASHAVU



Raisi ajaye wa Kenya atakuwa akilipwa shillingi Million 1.3 za kikenyaa,ambayo nisawa na takriban Million 22.1 za kitanzania kama mshahara na malupulupu yake.
Hayo ni mapendekezo yaliyotolewa leo na Tume ya Mishara na malulupu ya Kenya ambayo pamoja na mshahara wa Raisi imependekeza mishahara ya ofisi mbalimbali za Serikali hiyo
Katika mapendekezo hayo kiwango cha juu ambacho Rais anaweza kulipwa hakitakiwi kuzidi Million 1.75 za Kikenya sawa na shilingi Million 29.75 za kitanzania
makamu wa Raisi atalipwa kati ya Milion 19.55 na Milion 25.16 za KitanzaniaSpika wa Bunge la Kenya atalipwa kati ya Milioni 17.85 na Milion 23.8 za kitanzaniaJaji mkuu atasimamia kwenye kati ya Million 17.51 na Million 23.46 za kitanzania
Katibu wa baraza la mawaziri atalipwa Millioni 19.04 za kitanzania wakati Gavana atalipwa kima cha juu cha shillingi Million 18
Tume hiyo imeendelea kupendekeza kwa wabunge pia, inataka wabunge walipwe kima cha juu cha shillingi Million 12.6 za kitanzania  sawa seneta
Tume hii itaanza kukusanya maoni ya wananchi kuhusiana na mishahara hii kuanzia nchini humo
Nchi ya Kenya itafanya uchaguzi mkuu mwaka huu mwezi wa tatu wa kumchagua Raisi na viongozi wengine wakitaifa


EmoticonEmoticon