OBAMA, JK WAKIJIBU MASWALI YA WAANDISHI WA HABARI HIVI SASA IKULU



Rais Barack Obama na Rais JM Kikwete wanajibu maswali ya waandishi wa habari mbalimbali kuusiana na ujio wake nchini Tanzania


Obama aliwasili majira ya saa 8 mchana katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere akiwa pamoja na mkewe Michell Obama pamoja na watoto wake Sasha na Mallia na kupokelewa na Rais Kikwete pamoja na Mkewe Mama Salma Kikwete


Picha za Obama na Mhe. Kikwete alipowasili nchini na kupokelewa kwa gwaride, mizinga 21 pamija na nyimbo kutoka katika vikundi mbalimbali vya kitamaduni


EmoticonEmoticon