OBAMA AMALIZA VIARA YAKE, UKIMYA WATAWALA DAR


Tayari Rais wa marekani Barack Obama ameondoka nchini kuelekea Marekani baada ya kumaliza ziara yake kwa nchi za Afrika tangu June 28 mpaka July 2.

Obama alianza ziara yake huko nchini Senegal kisha Afrika Kusini na kumalizia ziara hiyo hapa nchini. Makundi makubwa ya watu walijitokeza pembezoni mwa barabara kushuhudia msafara wa rais huyo huku kukiwa na ukimya katika maeneo ya katikati ya jiji

The city is Quete and Clean


Jiji la Dar es salaam kwa siku 4 sasa limekuwa katika hali ya usafi na ukimya wa hali ya juu kutokana na ujio wa raisi huyo bwana Barack Obama


Hakuwa na vituo vua magari kama ilivyo zoeleka kwa barabara ambazo raisi huyo alikuwa amepangiwa kupitia, pia kulikuwa na idadi kubwa ya watu wakitembea kwa miguu baada ya barabara kufungwa kwa masaa kadhaa kupisha misafara ya Raisi huyo

Taswira ya Mwenge leo asubuhi- picha na Thecampasvision

Majira ya saa 3 mpaka saa 5 asubuhi barabara zilifungwa ili kupisha msafara wa raisi huyo lakini majira ya saa 6 kasoro Obama aliingia kwenye Air Force One na kuelekea marekani




EmoticonEmoticon