OFISI YA SERIKALI YA MTAA MZIZIMA INAHITAJI MAREKEBISHO



Hii ndio ofisi ya mwenyekiti serikali ya mtaa makumbusho - Mzizima kiukweli inahitaji marekebisho ili kuweza kuendesha shuguli za kijamii ipasavyo nakatika eneo linalo eleweka hata kwa mgeni anayeenda katika eneo hilo kuitaji msaada wa kiserikali

Tuamke natujali vitu vyetu kuanzia chini sio tuu Wizara au Makampuni ya serikali tu hata huku kuna watanzania. Ofisi hii irekebishwe.... Diwani na Mbunge wa eneo hili kumbukeni hapa ndio mlifanya vikao vyenu na wananchi kuomba kura hasa wale makada wenu


EmoticonEmoticon