LORI AINA YA SCANIA LATEKETEA KWA MOTO MBEZI

Jana Majira ya saambili usiku meneo ya Mbezi beach samaki Lori aina ya Scania lenye namba za usajili T 194 ATR liliungua moto kutokana na tairi la mbele kupata pancha likitokea maeneo ya tegeta

Moto huo uiliteketez eneo lote la mbele laa gari hilo ambalo lilikuwa limebeba mchanga, Kwmujibu w Meja Nurdin mkuu wa kituo cha polisi cha Afrikana, Gari hilo linamilikiwa na kmpuni ya Kilimanjaro Track.


Kikosi cha zima moto kilifika eneo la tukio nakufanikiwa kuzima moto huo kabla gari hilo alija sababisha madharaa makubwa,

Chajabu nikwamba licha yaa wnanchi kuona moto huo ukiwak kwa kasi lakini bado walijazana eneo la tukio huku madereva nao wakikatiza pembeni kabisa ya gari hilo lililokuwa likiendelea kutekete kwa moto

Katika tukio hilo hakuna mtu yeyote aliye ripotiwa kupoteza maisha. 


EmoticonEmoticon