Wakazi wa Jangwani wakiendelea kuchota maji yanayo mwagika kutokana na ujenzi wa barabara inayojengwa kutoka Ubungo kuelekea Posta, ni ya mabasi yaendayo kasi

Dawasa hapa wamefeli kwani wangefaja jitihada ya kuvuia au kuondoa bomba hilo kabla ya ujenzi huo kufika eneo hilo




EmoticonEmoticon