JOTO HASIRA ITAISHALINI- FOLENI NJIA NZIMA

Watumiaji wa barabara ya New Bagamoyo Road hatuna nafuu hata kidogo licha ya barabara hiyo kufunguliwa na kuruhusu njia mbili kutumika baadhi ya maeneo

Poleni kuanzia Makongo - Mwenge, new bagamoyo roada

Kwa muda wa wiki mbili sasa tunalala na usingizi kabisa pindi tunapofika Maeneo ya Makongo mpaka kuishika Mwenge, unatumia zaidi ya dakika 45 eneo mojatu. Kama daraja la kwanza eneo hilo limekamilika basi lifunguliwe kama ilivyo maeneo mengine ilituweze kuwahi makazini.

New Bagamoyo Road asubuhi hii- picha na Campasvision

New bagamoyo Road inatarajiwa kukabidhiwa kwa serikali ifikapo mwezi wa nane licha yakuwepo kwa  maeneo mengi ambayo hayajakamilika hadi hivi sasa hasa madaraja ya upande mmoja wa barabara hiyo


Barabara hii haina aina matuta mwanzo mwisho, hala za barabarani baadhi ya maeneo tu, vituo havieleweki nikama vimewekewa Bajaji lakini chakushangaza hadi kilimani kuna kituo cha daladala mwanzo wa mteremko kituo. mkandarasi wa hii barabara amefanya vyema kwa upande wake


EmoticonEmoticon