Licha y Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Alfonso Lenhard kutoa sababu ya ziara ya Rais wa Taifa la Marekani, Barack Obama nchini Tanzania haina ajenda ya siri: "kuna maswali mengi naulizwa kwa nini Rais Obama amechagua kuzuru Tanzania.
Balozi Lenhardt alisema: kuwa"Ni kweli Obama atakuja Tanzania. Lakini niwahakikishie tu kuwa haji kupora rasilimali za Tanzania, huku akitaj sababu nne ambazo ni kutokana na kuwa Tanzania ni mfano wa utawala bora, demokrasia na ushirikishaji wa watu wake wakati wa kufanya uamuzi unaogusa maisha yao ya kila siku. Akasema Tanzania ni nchi ya mfano linapokuja suala la uongozi bora na ndiyo maana imekuwa na amani na utulivu kwa muda mrefu ikilinganishwa na nchi nyingi za Kusini mwa Jangwa la Sahara:
“Rais Obama anakuja kuunga mkono juhudi za Watanzania katika kutengeneza mazuri ya uwekezaji lakini bila kusahau kuwa kasi ya ukuaji wa uchumi wa Tanzania imeivutia Serikali ya Marekani.”
Kuisaidia Tanzania kuendeleza fursa mbalimbali za kujiletea maendeleo. Alisema uendelezaji huo wa fursa una lengo la kuisaidia Serikali ya Tanzania kukabiliana na tatizo la umaskini na kwamba Marekani ni moja ya nchi zinazoongoza kwa kutoa fedha nyingi za misaada na akisema kwa mfano, mwaka 2012 pekee ilitoa Dola 750 milioni.
Kuhimiza haja ya Afrika kutayarisha viongozi wa kizazi kijacho. Ameanzisha programu ya kuandaa viongozi wa kizazi inayoitwa `Young African Leaders Initiative’ na Watanzania watatu, Modesta Lilian Mahiga, Masoud Salim Mohamed na Malula Hassan Nkanyemka walishiriki katika mpango huo na kukutana na kiongozi huyo mwaka 2010:
Hayayote hayaja waridhisha wachambuzi mbalimbali wa kiasi huku kila mtu kuamini ajuavyo na kwa muono wake yeye, katika uchambuzi wa Tovuti ya Washington Post huko mrekani mchmbuzi mmoj hajaridhishwa na ziara ya Ris huyo nchini Tanzania huku akiilingnish Tanzania na nchi inyotetea biashara ya binadamu ( human trafficking. ) kwa kufananisha tukio alilolifanya blozi wa Tanzani huko Washington bwana Allan S Mzengi dhidi ya Zipora Mzengo
Kusoma alichokiandika Dana Milbaank ktika tovuti ya The Washington Post juu y Rais Obama Kuja Tanzania Fungua hap chini kusom zaidi
http://www.washingtonpost.com/opinions/dana-milbank-obamas-ill-advised-visit-to-tanzania/2013/06/07/397b00fa-cf88-11e2-8845-d970ccb04497_story.html
Uncategories
KESI YA BALOZI MZENGI NA BIASHARA YA KUSAFIRISH MWANADAMU, YAHUSISHWA ZIARA YA OBAMA NCHINI TANZANIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon