Kutokana na tatizo la upungufu wa madawati katika shule za msingi na sekondari katika manispaa ya Ilala, imemlazimu meya wa manispaa hiyo bwana Jerry Slaa kuanzisha kampeni ya kuchangia madawati ili kuondokana na tatizo hilo
Manispaa
hiyo inaupungufu wa madawati Elfu 44,151 kwa shule za msingi zipatazo
105, huku shule za sekondary 49 zikiwa na upungufu wa madawati Elfu
14,354 jambo ambalo linarudisha nyuma maendeleo ya elimu katila
manispaa hiyo
Aidha
wingi wa wanafunzi umeelezwa kuwa ni miongoni mwa sababu zinazo
hatarisha maendeleo ya elimu kwani wanafunzi wengi katika manispaa
hiyo hukaa chini wakati wakiwa darasani.
EmoticonEmoticon