NASIKIA KUITWA- ALBUM MPYA YA NJIMBO ZA INJILI IKO MADUKANI


 

huu  ni muonekano wa albam cover ya peter banzi inayokwenda kwa jina la NASIKIA KUITWA

inabatika kwa sh eflu 10000 na unaipata popote ulipo kwa hapa dar kwa mawasilino ya no 0717413034 basi unafikishiwa nyumbani.......albamu hii yenye nyimbo 10 za raza tofauti tofaut hiphop na muziki wa kiafrika zaidi....na ni ya nyimbo za injiri kwa ajiri ya vijana na wazee pia yan new generation ok pandisha mlenge njo tumpe mungu shavu la kutosha ili afanye yake tuzidi kula bata tukielekea yelusalemu mpya..... haleruyaaaaah


EmoticonEmoticon