TAREHE YA LEO KATIKA KUMBUKUMBU
NI
SHUJAA WA MAZINGIRA,
ALIYEKATAA KUZIKWA NAKUAGIZA,
MWILI WAKE KUCHOMWA MOTO
Wangari Muta Maathai, alizaliwa tarehe
ya leo April 1,1940 huko Ihithe Tetu- Nyeri nchini Kenya nakufariki Dunia
September 25,2011 hukohuko nchini Kenya akiwa na umri wa miaka 71.
Amepata elimu yake ya juu
katika vyuo vya Mount St.Scholastica College, University of
Pittsburgh na University of Nairobi akiwa na taaluma ya B.S
Biology, M.S Biology Sciences na PhD Veterinary Anatomy
Mama Wangari Mathai ambaye alipewa tuzo
ya Nobel Peace Prize akiwa ni Mwanamke wa kwanza kupewa tuzo hiyo
Barani Afrika juu ya harakati yake ya Green Belt Movement.
Mbali ya kuwa mwanaharakati wa masuala
ya mazingira na haki za binadamu Wangari pia alikuwa mwanasiasa
shupavu. Amewahi kuwa mbunge na naibu waziri wa mazingira Kenya.
Katika uhai wake ametunukiwa tuzo zingine mbalimbali za kitaifa na
kimataifa kwa kutambua mchango wake
Lakini pia Wangari Mathai alikataa
kuzikwa kama binadamu wengine hasa kulingana na taratibu za Kiafrika
na kuagiza mwili wake kuchomwa moto, kutokana na kujali sana
mazingira kisha eneo ulipochomwa mwili wake kupandwa miti.
#NUKUU ZA WANGARI MAATHAI
USA President Barack Obama, with the late Wangari Maathai |
# WANGARI MAATHAI QUOTES
" I kept stumbling and falling and stumbling and falling as I searched for the good. 'Why?' I asked myself. Now I believe that I was on the right path all along, particularly with the Green Belt Movement, but then others told me that I shouldn't have a career, that I shouldn't raise my voice, that women are supposed to have a master.
That I needed to be someone else. Finally I was able to see that if I had a contribution I wanted to make, I must do it, despite what others said. That I was OK the way I was. That it was all right to be strong."
- As quoted in the article Wangari Maathai:"You Strike The Woman ..." by Priscilla Sears in the quarterly In Context #28 (Spring 1991)
*******************************************************
GOLDIE AFARIKI DUNIA SIKU YA VALENTINE DAY
Mitandao Mingi ya nchini Nigeria
imethibitisha kifo cha msanii maafuru wa muziki nchini humo marehemu
Goldie Harvey ambaye alishiriki mashindano ya Big Brother Africa
mwaka jana
Goldie Harvey amefariki akiwa na umri
wa miaka 29 huko Lagos Nchini Nigeria ikiwa ni masaa machache tu
tangu afike nchini humo akitokea Los Eangles marekani alikoenda
kwenye Tuzo za Grammy 2013.
Goldie ambaye kwa majina kamili anaitwa
Susan Oluwabimpe Harvey, siku chache zilizopita Msanii wa Kenya
ambaye naye alishiriki katika shindano la Big brother Afrika 2012,
Prezoo alitangaza kuwa atamuowa mwanadada huyo ambaye hivi sasa
nimarehemu
Msanii huyo amefariki kutokana na
maumivu ya kichwa lakini haijawekwa wazi ninihasa kimeondoia uhai
wake.
Goldie ambaye pia amewahi kuimba na
msanii wa Tanzania A.Y amekuwa nyota ya Nigeria kwa fani ya muziki. Hatahivyo familia yake haijaweka wazi mazishi yake yatafanyika wapi na sikugani
Posted on: Feb. 15.2013
**************************************************************
Black Billionaire of 20th Centuary OPRAH WINFREY
Happy Birth Day
Ni marekani Mweusi. Amezaliwa tarehe yaleo January 29.1954 anaumri wa miaka 58 hivi sasa.
Kulingana na tafiti zilizo fanywa nchini Marekani Operah yeye ni Tajiri wakwanza Mweusi katika karne ya 20 (20th Centuary).
Oprah alizaliwa katika familia masikini sana huko Kosciusko Mississippi nchini Marekani,
Na alipokuwa na umri wa miaka 9 aliwai kubakwa, pia alipata mtoto katika umri mdogo wa miaka 14 lakini kwa baati mbaya mtoto wake alifariki akiwa mdogo.
Baada ya jitihada zake binafsi Oprah aliweza kuibuka nakuwa Tajiri Mkubwa Duniani, hivi sasa Oprah anaishi Montecito California.
Oprah anautajiri wa Dola za Kimarekani Billioni 2.7 (US$ 2.7) yeye ni nimfuasi wa chama cha Democratic Party.
Posted on 29. Jan 2013
*******************************************
BARACK OBAMA, ameapishwa Rasmi kuwa Raisi wa Marekani kwa awamu ya Pili katika Ikulu ya White House jijini Marekani. Obama ni raisi wa 44 wa Marekani
Posted on: 20th Jan.2013
BARACK OBAMA, ameapishwa Rasmi kuwa Raisi wa Marekani kwa awamu ya Pili katika Ikulu ya White House jijini Marekani. Obama ni raisi wa 44 wa Marekani
******************************************************** ***************
DR. REGINALD MENGI NA HAFLA YA CHAKULA CHA MCHANA KWA WATU WENYE ULEMAVU KWA MIAKA 19 SASA
Mwenyekiti Mtendaji wa makampuni ya IPP Dr.
Reginald Mengi Jana taree 20.1.2013, alijumuika na Walemavu zaidi ya Elfu 5000 katika hafla ya
chakula katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es salaam, ambayo
uwaandalia watu wenye ulemavu kwa lengo la kuishawishi jamii kuwajali na
kuwapenda watu hao
Hafla
hizo hufanyika kila mwaka, nahii nimara ya 19 tangu kufanyika kwa hafla hiyo, Tangu
mwaka 1994 Walemavu wengu hujitokeza kuhudhuria hafla hiyo huku kila mwaka
idadi yao ikiongezeka
Dr. Mengi amekuwa akifanya hafla hii kama
shukrani yake kwa jamii, akiwa na lengo kubwa la kuishawishi jamii kuwakumbuka
na kuwahudumia watu wenye Ulemavu
Posted by. Loyce Akoth
On. Jan. 21.2013
********************************************
HUYU NDIYE MWANAMKE MREFU ZAIDI DUNIANI, ELISANY DA CRUZ SILVA
Elisany da cruez silva, ni binti mwenye umri wa miaka 17, na ndiye anaye aminika kuwa mwanamke mrefu zaidi duniani akiwa na umri mdogo pia, yeye ni mzaliwa wa Brazil na anaurefu wa futi 6.9.
Alisany amezaliwa Septembar 27 mwaka 1995, na anaurufu zaidi ya wasichana wote wenye umri wake duniani. Anafanya kazi za mitindo huku akionekana kuwavutia watu wengi kutokana na umri wake pamoja na urefu alionao.
Mchumba wake ambaye anaurefu wa futi 5.4 ambaye ana umri wa miaka 22 anaitwa Francinaldo da silva carvalho, Licha ya pinti huyu kuwa na umri mdogo zaidi kuwa na mpenzi lakini Sheria za Brazil azijalishi sana kama mtu atakuwa na uhusiano na binti mwenye umri mdogo kama ilivyo Tanzania au nchi zingine Barani Afrika.
Kutokana na kuwa mrefu kuliko mabinti wenzake Elisany aliamua kuacha shule nakujikita zaidi katika mambo ya mitindo.
************************************************
HISTORIA YA UGONJWA WA SAJUKI
Sajuki
alianza kuumwa Sepember 2011, na kutibiwa katika Hospitali ya TMJ na
Muhimbili akiwa anasumbuliwa na kansa ya ngozi ya mwili mzima. Taree
16. 5.2012, Aliweza kwenda India kwa matibabu zaidi.
Tarehe
14.12. 2012 alizidiwa na kupelekwa Hospitali ya Muhimbili kwa
upungufu wa Damu na ndipo taree 2.1. 2013 saa kumina mbili na nusu
asubuhi alipatwa na umauti.
Marehemu
ameacha mke na mtoto mmoja mwenye umri wa miezi 10, na amezikwa leo
taree 4.1.2012 katika makaburi ya kisutu jijini Dar es salaam
Sajuki alikuwa miongoni mwa mastaa wakibongo, ndani ya tasnia ya Bongo Movie ambaye alipendwa na watu wengi kwa kipaji cheake cha kuigiza
Posted on Jan.04.2013
***************************************************************************************
Posted on dec.20.2012
by: Loyce
JOJO ATIMIZA MIAKA 22
ASHEREKEA TAREHE YA KUZALIWA 20,DEC 1990
Ni mwanamuziki wa Marekani, alianza kuimba akiwa na umri mdogo,
***************************************************
JUMBA LA KIFAHARI LA RIHANA LAGARIMU DOLA MILLIONI 12 ZA KIMAREKANI
Mwana mziki wa marekani RIHANA, amenunu nyumba mpya yenye thamani ya Dola Millioni 12 za kimarekani, katika mji wa Pacific Palisades huko Califonia. Rihana anamiaka 24 hivi sasa na amezaliwa February 20, 1988 ambapo amezaliwa ni Sain Michael , barbados
Magari ya kifahari ya Rihana haya hapa
.........................................................................
SHILOLE , CHRISTINE AGUILERA NA SAMWEL SITA WAZALIWA LEO,
SAMWEL SITA, WAZIRI WA AFRIKA MASHARIKI NAYE AZALIWA LEO
................................................................................
BINGWA WA DUNIA WA MASUMBWI AZALIWA LEO, NI DAPIDRAN PACQUIAO
Kwamajina ni Emmanuel Dapidran
Pacquiao, Jina lake la utani ni Pac-Man, maarufu kama Manny Pacquiao
yeye ni Professional boxer, napia ana Records za juu sana akiwa ndio Bingwa wa Dunia upande wa Boxing ni Actor na
pia ni Politician (Mwana siasa. Ameoa na anawatoto wa Nne, mkewake
anaitwa Maria Geraldine. Kwa sasa anaishi huko Las Vegas Nevada
KWA SASA YEYE NDIYE BINGWA WA DUNIA KATIKA MASUMBWI
Manny Pacquiao Net Worth is$70 Million
Manny Pacquiao Annual Income is$62 million
Manny Pacquiao Salary is$22 million
................................................................................................................................................
MICHAEL OWEN AZALIWA LEO
Michael Owen, ni mchezaji wa Stok City, amezaliwa taree 14.12.1979, katika eneo la Chester huko England, na amewai kuwa nimchezaji bora wa Dunia
Owen ni mtoto wa mchezaji wa Zamani Terry Owen, Alianza mpira katika timu ya vujana ya Liverpool mwaka 1996.
Timu alizowahi kuchezea ni Liverpool, Real Madrid, Newcastle United, Manchester United na hivi sasa yuko Stok City.
MASTAA WALIO ZALIWA LEO, BONGO NA MAJUU HAWA HAPA
Taylor
Swift6 alizaliwa Desemba 13 mwaka 1989. Huyu ni mwana muziki wa
Markani.
Aliasaini mkataba na
Lebel Big Mchine Records na kuwa mwana muziki mwenye
umri mdogo kufanya
kazi na ATV Music publishing house. Mwaka 2006 alitoa albamu yake ya
kwanza ambayo
ilimpatia sifa na kumfanya afahamike katika ulimwengu wa muziki
duniani.
Taylor alitoa single
"Our Song" iliyomfanya awe mwanamziki mwenye umri mdogo
kuingia katika
chati ya wanamuziki
bora katika nchi hiyo. Vilevile alitajwa kama mwanamuziki mpya nyota
katika Grammy
Awards mwaka 2008
.........................................................................................
BONTA, ni mwanamuziki wa kibongo na amezaliwa taree na mwezi kama wa leo, 13.12
............................................................
MIKE TYSON ABADILI JINSIA NA KUWA MWANAMKE
MIKE TYSONE ambaye alikuwa mpiganaji wa mwasumbwi kwa kiwango cha uzito wa juu nakujinyakulia ushindi wa dunia mara kadhaa, amebadili jinsia na kuwa mwana mke, baada ya kufanya upasuaji katika clinic moja maeneo ya Beverley Hills Nchini MarekaniMike Tyson ambaye alikuwa kama mwanaume hatari”The baddest Man on the Planet”ameelezea hali hiyo kuwa kama ndoto yake ambayo imeweza kutimia, na kuelezea kuwa kuanzia sasa atatambulika kwajina la Mishell. Baadhi ya maneno ya Mishell (Mike Tyson) ambayo amenukuliwa na Mtandao wa The Standard wa marekani yanasema
“Some people might think it strange that I’m now a woman,” said Tyson, who underwent complete facial feminisation, orbital bone contouring and nasal surgery in an operation lasting over 16 hours.
‘But even at the height of my career, when pound for pound I was regarded as the best fighter in the world, I never lost touch with my feminine side and knew that one day I would grow breasts and have a vagina.
Bibie Mishell- zamani kama Mike Tysone, Amesema kuwa kwake mwanamke kutawafanya wamarekani kumchukulia katika mtazamo wake mpya, kitu ambacho kitafanya wao wavutiwe na mtazamo wake mpya.
..................................................................................................
TOP THREE TANZANIAN MODELS WHO ARE INTERNATIONALLY RECOGNIZED IN THE WORLD OF FASHION
no. 1 Millen Happiness Magese
Former Miss Tanzania (2001), International Model signed with Ford Models NY,Ice Model Management South Africa, Tanzania Eductation Trust Spokesperson
She is a World-renown fashion Model and Humble Humanitarian. When she's not rocking the runways in Europe,the United States,Asia and Africa. the former Miss Tanzania can often be found lending her time,talents,and high enegy to making a difference in the lives of those who are less fortunate through her significant contributions to charities such as the Tanzania Education Trust, African Rainforest Conservancy, and the MacDella Cooper Foundation
Giving back is one of my favorite things. Millen Magese's mission is to proved assistance to charitable organisations whose work is specifically focused in Tanzania especially causes that benefit women, chilren, and primary education.Her long-term plan is to build schools for children in rural areas as she believes a good education is a key to life
to follow: Millen
www.millenmagese.com/
https://twitter.com/ladivamillen
Millen Magese,. @ladivamillen.*******************************************
no: 2 FLAVIAN MATATA
She studied Electric
Engineering at Arusha Technical College. Her star started shining
when she rose to international fame in 2007 after she won the Miss
Universe Tanzania title and became the first woman to represent her
country in Miss Universe.
Flaviana is also turning
her attention to charity. She is Angel Ambassador of Diamond
Empowerment Fund (DEF), Through her foundation –
Flaviana Matata Foundation – she is reaching out and helping women
and children of her home country Tanzania through various charity
activities. Flaviana is also the Goodwill Ambassador of Tanzania
Mitindo House – a Tanzanian charity.
to follow
Flavian Matata
flavianamatata.com/
https://twitter.com/FlavianaMatata
@flavianMatata
*************************************
NO.3 ROSEMARY KOKUHILWA
EX-Model from Tanzania, Freelance Fashion Stylist,
a Fashion Blogger ,
a certified make up-artistry , Co-founder &
Chairman & CEO of Global Fashion New York Inc.
started modeling for Faces
International and working for M-Net Africa - Tanzania. This
opportunity allowed her to gain experience from working on multitude
of exciting assignments including Road shows for M-Net Rock Down
Africa, Chanel O, M-Net Face of Africa, and styling for local runway
shows.
She is a
social entrepreneur and a philanthropist. In the USA, Rosemary
has and continue to use her clout and and status to raise funds to
support causes in Tanzania and elsewhere.
to follow Rosemary
www.fashionjunkii.com/tag/Rosemary-Kokuhilwa
www.facebook.com/...rosemary-kokuhilwa.
www.fashionjunkii.com
.......................................................................
JACKLINE WOLPER ASHEREKEA SIKU YA KUZALIWA
Msanii maarufu wa maigizo Jackline Wolper, anasherehekea siku yake ya kuzaliwa, ambayo ni taree 5.12.siku ya leo
..............................................................
Muigizaji na mkongwe wa Filamu za Nollywood, Nchini Nigeria namzungumzia mzee mkongwe Enebeli Elebuwa,ambaye amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo huko India alikokuwa amepelekwa kwa matibabu,baada ya kuugua kiarusi(Stroke), Enebeli amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 65
.........................................................................................................................
JAY-Z RAPPER ALIEUZA ZAIDI YA ALBUM MILIONI 50 DUNIANI
Jay-Z ni rapper wa marekani,Producer,Actor na mjasiriamali, pia ndiye rapper mwenye mafanikio zaidi marekani na duniani.akiwa na album millioni 50 na kuziuza kwa kiasi cha dola 500 za kimarekani.
Jay-Z amezaliwa December 4 mwaka 1969 huko New York City, majina yeke kamili ni Shauni Corey Canter lakini anafaamika sana kama Jay-Z.mke wake ni msanii maarufu wa R&B Duniani,Beyonce Knowles na wamefanikiwa kuzaa mtoto mmoja aitwaye Blue Ivy Carter.uzo 14
Jay-Z anajumla ya tuzo 14, huku nyimbo zake zikiwa nominated mara kadhaa katika mashindano mbalimbali. Pia nyimbo zake zimekuwa kwenye record ya The Greatest albums of all time.
Kwatarifa yako muimbaji Jay-Z,ndio muazilishi wa Rocawear. pia ana share ya asilimia 40 katika National Basketball Associations Brooklyn Nets ya huko marekani,vilevile ni former CEO wa Def Jam Records, pia anamiliki Roc-A-Fella Records. ikiwa yeye ndiye muazilishi wa Roc National Jay-Z.
Akita hitu ambavyo nitofauti na wasanii maarufu Marekani kwa Jay-Z nijinsi alivyo weza kuimili Mapenzi yake na bibie Beyonce
.......................................................................................
NANI ANA MBEBA MWENZAKE KIMZIKIWadau wa Campus Vision hili lazima tuliondolee utata, Coz minong'ono inazidi...Eti kati ya wasanii maarufu na wakongwe wa Bongo Fleva. Mwana Falsafa a.k.a Mwana FA pamoja na Ambwene Yesaya a.k.a AY Mzee wa Comecial.
Ninani anambeba mwenzake kimuziki..Je ni AY au ni MwanaFA?
Huu ndio muda wakujua nani mkali nani anabebwa na mwenzake au nani anamingo za kuzidi kung'ara kutokana na mwenzake.
Tupia Coment yako ili tumpate ambaye anamtumia menzake ilikuwa juu kimuziki.
Mwana FA na AY walikuwa miongoni mwa wasanii waliounda kikundi cha East Coast Team, ambao mpaka sasa bado wana Sikika
EmoticonEmoticon