na Manager Wake Martin Kadinda....Limeandika hivi ....
Madam Wema na Manager wake bado Wanawapa Maswali yasiokuwa na Majibu Watu wengi kutoka na utaratibu wao wa kazi na Maisha wanayoishi kwa sasa....
Mtu mmoja wa karibu wa wiwili hao amenyetisha na kusema Martin Kadinda Toka Awe na Wema Sepetu hawajahi Kumtambulisha Girl friend wake kwa mtutu yoyote hata watu wa karibu na yeye..
Pia kwa upande wa Wema Mtu huyo amesema kuwa Toka Wema ahamie kwenye Jumba Lake la Kifahari Hajawahi hata siku moja kumuingiza mwanaume zaidi ya marafiki zake wa kawaida..hao marafiki zake hufika na kuondoka lakini inasemakana Martin siku zingine huwa analala Japo hajasema kama ni chumba kimoja ama ni tofauti ...Kitu ambacho kinaacha maswali mengi sana kwa mashabiki wa hawa wawili...
Maswali mengi yamekuja kutokana na picha zao za Utata wanazopiga kama Msanii na Manager wake
EmoticonEmoticon