Mamlaka wa udhibiti wa nishati na maji EWURA hii leo jijini Dar es salaam wametangaza kupanda kwa bei za umeme ifikapo Januari 1. 2014 kutoka asilimia...
Serikali ya Tanzania inajipanga kuchukua hatua endelevu katika kuhakikisha fedha kwa ajili ya maendeleo zinazotengwa kwa kila sekta zinafikia walengwa...
Rais Uhuru Kenyatta jana amewaongoza wananchi wa Kenya kusherehekea miaka 50 ya uhuru, na kuwataka kudumisha umoja na moyo wa uzalendo ulionyeshwa na...
Tume ya taifa ya uchaguzi nchini Tanzania imesema ina uhuru wa kutosha kuendesha chaguzi mbali mbali ikiwamo kura ya maoni ya katiba mpya, tofauti na...
Takribani ekari laki nne za misitu huteketea kila mwaka nchini Tanzania, kutokana na vitendo mbali mbali vya uharibifu wa mazingira unaoendana na uchomaji...
Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za rambirambi Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini na kupitia...