KUPINGA MATOKEO YA URAIS KENYA, CORD WANAKUSANYA USHAIDI

Bwana Raila Odinga ambaye ameangushwa katika uchaguzi mkuu wa urais inchini Kenya hii leo ametangaza kutafuta ushahidi wakutosha juu ya madai yake ya kupinga ushindi wa Bwana Uhuru Kenyatta ambaye aliibuka kidedea katika Uchaguzi huo
Raila Odinga ambaye alikuwa mgombea kwatiketi ya muungano wa chama cha Cord, pamoja na wafuasi wake wamepinga vikali juu ya ushindi wa Uhuru Kenyatta 

Akiongea na vyombo vya habari vya nchini humo, Bwana Mutula Kilonzo amesema, Cord inaendelea kukusanya vidhibitisho kutoka sehemu mbalimbali ili kupata ushahidi wa kutosha juu ya madai yao

Naye Bwana James Orengo, ambaye niwa Cord aliilalamikia Tume ya uchaguzi ya Nchi hiyo IEBC kwakukataa kuwapa baadhi ya vielelezo swala ambalo anaona litafanya wasipate baadhi ya ushahidi juu ya madai yao.

"We were denied the right to access several crucial documents by the IEBC. We therefore could not verify some documents," he said.

Aidha Bwana Orengo ameomba mahakama ameiomba mahakama kuu ya nchi hiyo kutenda haki juu ya madai yao nahatimaye haki itendeke

Hatahivyo, maeneo ya Rongai nchini humo maafisa wa uchaguzi wamefunguliwa mashtaka hii leo kwa makosa mbalimbali ikiwemo la kukutwa na karatasi za kupigia kura pamoja na box za kuifadhia kura hizo


EmoticonEmoticon