WAKENYA wamepiga kura ya kiistoria hii leo, chini ya katiba mpya ya nchi hiyo, huku wapiga kura wakijitokeza kwawingi huku amani ikiwa imetawala maeneo mengi nchini humo.
Kumekuwa na msururu wawatu wengi wakisubiri kupiga kura hii leo, aidha mji wa Nairobi kuliripotiwa kuwepo kwa mistari mirefu zaidi. Vyama vya Cord na
Kenya imeonyesha njia nyingine ya kidemocrasia wakati wa uchaguzi tofauti na matazamio ya wengi kuwa kunge zuka vurugu kila mahali lakini ni eneo moja tu ndiko kuliripotiwa kuwa na mauaji ya watu 10
Matokeo ya uchaguzi huo yanatariwa kuonyeshwa baada ya masaa 24 baada ya kura kumalizika kupigwa saa 11 jioni hii. Mpaka Blog hii inakwenda mitamboni tayari matokeo yalianza kuonyeshwa katika baadhi ya maeneo mengi ya nchi hiyo
EmoticonEmoticon