RAIS wa Marekani Barrack Obama ni
miongoni mwa viongozi wakuu Duniani watakao hudhuria sikuya kuapishwa
kwa rais wa awamu ya Nne nchini Kenya, ambapo inatarajiwa kuwa Machi
26 ataanza rasmi uongozi
Naye Waziri Mkuu wa Uingereza David
Cameroon amealikwa, Viongozi wengine ni kutoka European Union Head of
State pamoja na Mkuu wa Body ya Afrika Mashariki nao watakuwepo siku
hiyo
Aidha ilikuweza kushinda uchaguzi huo,
Mgombea anatakiwa kupata kura kufikia 50% kwenye kura zote zitakazo
pigwa nchi nzima, kwakulinganisha asilimia 25 miongoni mwa wapiga
kura asilimia 47 nchi nzima
Kama mshindi hatapatikana au kura
kufungana, wagombea wawili wenye kura za juu watatakiwa kurudia kura
hizo baada ya siku 30 baada ya kura za kwanza zilizo pigwa. hii nikwamujibu wa Daily Nation ya nchini humo
********************************
VIPAUMBELE VYA RAILA ODINGA
kusoma wasifu (Profile)za wagombea urais kenya ingia hapa
: http://sabahionline.com/en_GB/articles/hoa/articles/features/2013/02/15/feature-01
EmoticonEmoticon