Katibu mkuu wa Wizara ya Elimu na mafunzo ya ufundi Prof. Sifuni Mchome amefungua rasmi mafunzo kwaajili ya walimu walioko kazini katika mkoa wa mwanza ambapo ameweza kutembelea baadhi ta vyuo na shule mkoani hapo.
|
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome akizungumza na wanafunzi wa shule ya sekondari Nyakurunduma iliyoko jijini Mwanza ambapo alitembelea shule hiyo kuona ujenzi wa miundombinu (maabara, vyooo, ukarabati wa madarasa na tanki la maji)
|
|
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome (watatu kutoka kuli) akifungua Mafunzo Kazini kwa Walimu wa Sayansi, Hisabati na TEHAMA wanaofundisha katika shule za sekondari katika mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Tabora, Singida, Kagera na Mara. Mafunzo hayo yanafanyika jijini Mwanza katika shule ya sekondari Pamba |
|
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome akizungumza na Watumishi wa Chuo cha Ualimu Butimba mkoani Mwanza.
|
Katika Ziara hiyo Prof Mchome ametembelea chu cha ualimu Butimba mkoani Mwanza, maabara ya shule ya sekondari pamba na nyingine nying
EmoticonEmoticon