Pinda asema mshahara wake milioni 6

Waziri mkuu Mizengo Pinda ameweka wazi mshahara wake na kusema kuwa analipwa mshahara wa milioni 6, mshahara ambao ni pamoja na posho ya mke wake.


Pia amesema kuwa mshahara wake hauna tofauti kubwa sana na mshahara wa Rais, kwa kuwa hautofautiani hata milioni 1, na ameongeza kuwa yeye ni mkopaji mzuri sana wa mikopo toka benki
amewashangaa wale wote wanaodai kuwa analipwa mshahara wa shilingi milioni 30 kwa madai kuwa walikuwa wana lengo la kujipatia umaarufu na kumchafulia jina lake.


EmoticonEmoticon