BARACK OBAMA, DAVID CAMEROON WAALIKWA KENYA



RAIS wa Marekani Barrack Obama ni miongoni mwa viongozi wakuu Duniani watakao hudhuria sikuya kuapishwa kwa rais wa awamu ya Nne nchini Kenya, ambapo inatarajiwa kuwa Machi 26 ataanza rasmi uongozi

Naye Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameroon amealikwa, Viongozi wengine ni kutoka European Union Head of State pamoja na Mkuu wa Body ya Afrika Mashariki nao watakuwepo siku hiyo

Aidha ilikuweza kushinda uchaguzi huo, Mgombea anatakiwa kupata kura kufikia 50% kwenye kura zote zitakazo pigwa nchi nzima, kwakulinganisha asilimia 25 miongoni mwa wapiga kura asilimia 47 nchi nzima

Kama mshindi hatapatikana au kura kufungana, wagombea wawili wenye kura za juu watatakiwa kurudia kura hizo baada ya siku 30 baada ya kura za kwanza zilizo pigwa. hii nikwamujibu wa Daily Nation ya nchini humo
                     ********************************

      VIPAUMBELE VYA RAILA ODINGA

kusoma wasifu (Profile)za wagombea urais kenya ingia hapa

: http://sabahionline.com/en_GB/articles/hoa/articles/features/2013/02/15/feature-01


EmoticonEmoticon