Wizara ya afya na ustawi wa jamii
nchini Tanzania imebaini asilimia 13.7 ya wananchi wanadalili ya
ugonjwa wa kisukari kwa Tanzania bara hali inayosababishwa...
Kikundi cha Bunju Sisters Group kimekuwa kikikutana kila mwisho wa mwezi kwaajili ya kupea taarifa mbalimbali za chama, mapato na matumizi pamoja na...
Chama
cha wansheria wanawake nchini Tanzania TAWLA, kimeanzisha utaratibu
wa msaada wa namna jamii inavyoweza kupata huduma za kisheria kwa
kuanzisha...
Wakala
wa nishati vijijini REA, imeanza kufanya uchunguzi kuhusiana na
tuhuma kuwa baadhi ya wakandarasi wanaosambaza umeme vijijini
wamekuwa wakichukua...
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi (CCM), Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa
kampeni za kugombea...