Wakazi wa Bunju na viunga vyake Jijini Dar es salaam nje kidogo ya mji, huwa wana ifurahia sana siku ya mnada kwani mnadani pana furika sana kwa watu...

SIKU TANO NJE YA BUNGE MHE. LEMA AANGUKIA MIKONONI MWA JESHI LA POLISI
Askari wa Jeshi la Polisi wakilivuta gari la Mbunge Huyo juzi eneo la tukio Chuo cha AIA
Baada
ya Mhe. Godbelss Lema kuhusishwa na vurugu...

MTOTO ATOROKA NYUMBANI KWAO KWA KUTESWA
Mtoto wa miaka 12 ametoroka nyumbani kwao na kuja katika vituo vya utangazaji vya ITV akiomba kupelekwa kwa mama yake mzazi baada ya kuchoshwa na manyanyaso...

BAJETI YA WIZARA YA MAJI YA PIGWA CHINI, WABUNGE WAUNGANA – KILIO HAKUNA MAJI NCHINI, WAKATAA BILIONI 500 HAIWEZI KUTATUA TATIZO
KUTOKA BUNGENI
Hii itakuwa historia tangu Bunge hili kuanza, ambalo ni Bunge la 10 kikao cha13, baada ya Wabunge kuacha hitkadi za chama na...

"HAKIELIMU" SHULE ZA KATA KUPATA UMEME
SERIKALI imesema itakamilisha ujenzi wa shule za Sekondari
1,200 kwa kuweka miundombinu muhimu ikiwemo umeme kupitia Mpango wa Maendeleo
wa Elimu ya...
NEW BAGAMOYO ROAD PROJECT - NDOTO KUMALIZIKA AUGUST 2013
Bango likionyesha mradi huo unakamilishwa chini ya watu gani.
Barabara ya New Bagamoyo road ambayo inajengwa na serikali kwa kusaidiana na watu...

BILLIONI 20 KUENDELEZA WAFUGAJI WAGOGO WADOGO NCHINI
Serikali ya Tanzania
imesema itahakikisha kwamba hakuna mtanzania ambaye atakufa kwa njaa
mwaka huu licha ya kuripotiwa kwa baadhi ya maeneo yaliokumbwa...
KAMPENI UDSM NI BALAA, WAGOMBEA WANADI SERA ZAO UCHAGUZI KUFANYIKA APRIL 29
Washabiki wa Mkolwe Egidy wakimsindikiza baada ya kushuka jukwaani. Egidy anagombea urais wa DARUSO
Wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es
salaam, hii...
MIKATABA FEKI YAMLIZA JAJI WEREMA, RASILIMALI KUTONUFAISHA WATANZANIA NAKO KWA MKERA, AWATAKA WANASHERIA KUPITIA MIKATABA UPYA
Jaji mkuu Frederick Werema amewataka wanasheria kuondoa malalamiko ya watanzania juu ya mikataba mibovu kwa kupitia upya mikataba ambayo imeshapitishwa...
WANAWAKE NA MAENDELEO - BUNJU SISTERS GROUP TUNASONGA
Kutoka kulia ni Mwenyekiti wa chama hicho. Miss Loyce Joseph ambaye pia ni CEO wa Blog hii, katikati ni Miss Lucy na mwisho ni Janet Jackson
Bunju...

PICHA ZIKIONYESHA MAZISHI YA BI. KIDUDE
MAZISHI YA BI. KIDUDE RAIS JK AHUDHURIA, DR. ALLY MOHAMED SHEIN, MAKAMU WA RAIS ZANZIBAR MAALIM SEIF SHARIF NA MSANII MAARUFU WA BONGO FLEVA DIAMOND...
UHOLANZI YATOA BILLIONI 275 UJENZI WA KIWANJA CHA NDEGE, MWAKYEMBE NAYE AWAPIGA MKWARA WAKANDARASI
Picha ikionyesha uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere
Waziri wa uchukuzi Mhe. Harison
Mwakyembe ametoa onyo kwa makandarasi...

OUR BELOVED BI. KIDUDE HAS GONE...
> COMMENTS" class="img" height="403" src="https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_tEZmlNYDZ79Y5kz81wRnPuDhThXF_qaB-3pOXieEi-3VA4Li31E0sMEaDxRUC6_gPwpZonyA2Uw3Y7LvDE3sLFwlCiwVxFnHR99pselLfF9RIgiIm86tjcxqqD3AbvqlaI1IUwfaApgXedIVFj08v4MuCJcHB2sgllK4GKjNA0=s0-d"...
MBUNGE MWINGINE WA CCM ATUKANA BUNGENI LICHA YA MKWARA WA POLISI KUTANGAZWA
Wakati Bunge linamalizia
kikao chache cha Asubuhi hii leo (Mkutano wa 11, Kikao cha 6) bila
hiyana,
Mbunge wa Kigoma Mjini kupitia tiketi ya...
SERIKALI YAJIPANGA KUONGEZA MAPATO YA MADINI
Great Rift Valley Mining
Summit (GRV) hii leo wamekutana nchini Tanzania kwa siku mbili
kuangalia njia za kuongeza mapato kupitia vivutio vya madini
Mkutano...

WANAHARAKATI WALIA NA WALEMAVU, WATAKA UCHAGUZI WA MABARAZA YA KATIBA URUDIWE
Washirika wa jukwaa la wazi la semina
za jinsia na maendeleo GDSS linalo ratibiwa na TGNP, hii leo
wameitaka serikali kurudia uchaguzi wa wajumbe wa...
SIKU YA WAJASIRIAMAMLI DUNIANI- WASHAURIWA KUKOPA
Wajasiriamali wameshauriwa
kutoogopa kukopa na kutumia taasisi za mikopo katika kuendeleza
biashara zao
Hayo yamesemwa na Gershom
Mpangala...
UMEME VIJIJINI - NEEMA YAJA, EU KUISAIDIA TANZANIA
Wizara ya Nishati na Madini imekamilisha makubaliano ya fedha za msaada kutoka NORWAY kwaajili ya umeme vijijini, ambayo nikiasi cha Kr 700 ambayo...
Subscribe to:
Posts (Atom)