Karibuni tena katika safu yetu yakuakikisha kwamba tuna kuwa bomba na kuvutia mda wote, hongera kwa kina mama kwa kuwa mashujaa na kusherekea vyema siku yenu ya dunia kwa sasa naweza sema mmejipanga kufanikisha maisha yenu
tena kina mama mkumbuke muda wa kutegemea kina baba umeisha, amkeni mchakarike na kupanua mawazo yenu ili tuamshe vizazi na vizazi CMNAJUA MKONO UBEBAO NDIYO ULEAO tuna na fasi yakulea kwa mabadiliko tena usisahau MABADILIKO YANAANZA NA WEWE, jamani tuachane na hayo turudi kwenye topic yetu ya urembo,,,,,
Kuna watu wengi wanazarau swala la kumfuata mtaalam hasa wa urembo, kama wa nywele mavazi au vipodozi, bila kujua kwamba kuna madhara makubwa ndani yake, kumuona mtaalamu aimanishi wewe aujui au ushamba bali inaonyesha utashi wako na kujali wa afya yako, kumbuka kuna watu wengi wameripotiwa kuadhirika kwakutumia vipodozi bila kujua maelekezo au hata kufanya vitu kinyume na utalam wa jambo husika .
kumfuata mtaalam kutakupa tafsiri ya mambo ambayo unatakiwa kufanya kulingana na rangi na aina ya ngozi yako ili usi dhurike kiafya.kama wewe unajali afya yako utazingatia haya. kumbuka urembo uko mikononi mwako