MWAI KIBAKI AWABARIKI UHURU,RUTO KATIKA UONGOZI WAO

-->
RAIS alie maliza mudawake nchini Kenya Bwana Mwai Kibaki ambaye pia alitunukiwa barabara lenye jina lake hivi karibuni jijini Dar es salaam, Aewatakia heri Rais mteule Bwana Uhuru Kenyatta na makamu wake Bwana Willium Ruto kwa ushindi wao, hii leo katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi
Kutoka Kushoto ni Rais mpya wa Kenya bwana Uhuru Kenyatta, katika ni Rais Mstaafu Mwai Kibaki Kulia ni Willium Ruto
 Bwana Mwai Kibaki amewapongeza wawili hao, kwa ushindi kama ilivyotangazwa na tume huru ya uchaguzi wan chi hiyo (IEBC), Huku akiwatakia heri katika uongozi wao

Licha ya Raila Odinga ambaye alikuwa mgombea wa urais Kukimbilia mahakamani kupibnga matokeo hayo, Bwana Uhuru Kenyatta amezidi kupata mibaraka kutoka kwa viongozi wa Dini mbalimbali ilikuweza kuongoza nchi vyema
Uhuru Kenyatta akiombewa katika kanisa katoliki la Gatundu hii leo
Hata hivyo bado malalamiko mengine yanaendelea kutolewa na watu mbalimbali juu ya wizi wa kura katika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo, ambapo mdogo wake Rais Barack Obama, bwana Malik Obama naye ameitupia lawama tume ya uchaguzi ya nchihiyo IEBC kutokana na kura za eneo la SIAYA huko nchini Kenya


 HABARI GROUP YAANZISHWA KUNUFAISHA WAANDISHI WA HABARI

HABARI GROUP YAANZISHWA KUNUFAISHA WAANDISHI WA HABARI


Waziri wa maliasili na utalii, Balozi Khamis Kagasheki amewataka waandishi waabari wa kike kutumia kalamu zao katika kuandika mambo yanayo hamasisha amani na utulivu nchini

Waziri huyo aliyasema hayo katika uzinduzi wa kikundi cha HABARI GROUP, ambacho mlezi wake ni Naibu Waziri wa katiba na sheria Mhe. Angella Kairuki ambaye aliahidi kuwa bega kwa bega na kikundi hicho ilikuhakikisha kuwa kundi hilo linasonga mbele

Kagasheki alisema, Uwezeshwaji wa wanawake kiuchumi ni moja ya maadhimisho 12 ya ulingo wa Beling hivyo mnachofanya hapa ni katika kujikwamua wenyewe kiuchumi na kama mnavyofahamu wanawake wanamajukumu mengi katika familia, tasnia pia imewabana sana ila bado mmethubutu kufanya kazi, endeleeni hivyo hivyo” Alisema

Aidha, Mratibu wa kikundi hichi Bi. Rabia Bakari amesema kuwa kikundi hicho kinahitaji zaidi ya Sh.Millioni 10 ilikuwawezesha wanachama wake kupata mikopo itakayo wanufaisha 

“Kwa sasa katika akaunti yetu tumefanikiwa kuwa na million 2 nanusu tu, hivyo tunaitaji zaidi ya Milioni 23 ilikuweza kukopeshana na kukamilisha malengo ya chama hicho” Alisema Rabia

Hatahivyo waliweka kukusanya zaidi  ya sh. Millioni 6 katika uzinduzi huo, ambapo mgeni rasmi alitoa Milioni 2.
KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE KUKUTANA MACHI 18

KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE KUKUTANA MACHI 18

Kamati za Kudumu za Bunge zinatarajiwa kuanza  kukutana na kutekeleza majukumu ya Kibunge  jijini Dar es Salaam kuanzia Machi 18, ikiwa ni kipindi cha nusu muhula wa  uhai wa Bunge.
 
Vikao vya kamati hizo vitaanza mara baada ya kukamilika kwa uundwaji wa Kamati Mpya za Bunge pamoja na uchaguzi wa wenyeviti wa Kamati hizo utakaofanyika Ijumaa ya wiki hii.

Mwishoni mwa mkutano wa 10 wa Bunge mwezi uliopita, Spika wa Bunge, Anne Makinda alitangaza mabadiliko ya kamati hizo, huku akiifuta Kamati ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC) iliyokuwa ikiongozwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe.
 
Kutokana na mabadiliko hayo, shughuli za POAC sasa zitafanywa na Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) ambayo itaendelea na jukumu lake la msingi la kuchambua taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) pia kwa Serikali Kuu.
 
Kamati nyingine iliyofutwa ni ile ya Sheria Ndogo, huku zikiundwa kamati mpya tatu na kuzifanyia marekebisho nyingine ikiwa ni hatua ya kuimarisha usimamizi wa Bunge kwa shughuli za Serikali.
 
Katika mchakati huo, kamati mpya zilizoundwa ni Kamati ya Bajeti, Kamati ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Kamati ya Ulinzi na Usalama ambayo imetenganishwa kutoka katika Kamati ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.  
 
Kwa mujibu wa Spika Makinda, majukumu ya kamati mpya ya bajeti ni kufuatilia utekelezaji wa bajeti ya Serikali na sera za fedha pamoja na kuainisha na kupendekeza vyanzo vya mapato ya Serikali na kufuatilia mwenendo wa uchumi.
 
Kamati hiyo ya bajeti pia imepewa jukumu la kushauri kamati nyingine zote kuhusu bajeti.
Taarifa iliyotolewa jana na Idara ya Habari, Elimu kwa Umma na Uhusiano wa Kimataifa ya Ofisi ya Bunge iliyolenga kuufahamisha umma juu ya kuanza kwa kamati hizo nyeti za Bunge.
 
“Baada ya uundwaji wa kamati mpya na uchaguzi wa wenyeviti, litafuatia zoezi la wajumbe wapya wa Kamati hizo kuhudhuria semina maalumu kuhusu majukumu ya Kamati pamoja na kupitia mpango wa kazi (work plan)” ilisema sehemu ya taarifa hiyo.
 
Taarifa hiyo inasema ratiba iliyopo inaonyesha kuwa kamati za kisekta zitatembelea na kukagua miradi ya maendeleo iliyokasimiwa na utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2012/13 kuanzia Machi 18 hadi Machi 23 mwaka huu.
 
“Tarehe 25 mwezi huu, Spika wa Bunge, Anne Makinda alitoa muhtasari kwa wabunge wote kuhusu mkutano wa 11 wa Bunge ikifuatiwa na kupokea Mpango wa Maendeleo kwa mwaka 2013/14 kutoka serikalini pamoja na mwongozo wa matazamio na upeo wa Bajeti ya 2013/14,” iliongeza taarifa hiyo.
 
Taarifa hiyo ilisema kuanzia  Machi 26 hadi Aprili 5, Kamati za kisekta zitafikiria na  kuchambua maombi mapya ya fedha kwa Bajeti ya Wizara zilizo chini yake kwa mwaka wa fedha 2013/14 ikifuatiwa na Serikali kufanya majumuisho kwa kuzingatia ushauri wa kamati za kisekta.Baada ya shughuli hizo za kamati, Mkutano wa 11 wa Bunge ambao ni Mkutano wa Bajeti utaanza mjini Dodoma Aprili 9.
 
“Mzunguko wa Bajeti unakusudiwa kukamilika kabla ya tarehe 30 Juni, 2013 ili kuipa Serikali muda wa kutosha kutekeleza majukumu yake,” ilibainisha taarifa hiyo.
KUPINGA MATOKEO YA URAIS KENYA, CORD WANAKUSANYA USHAIDI

KUPINGA MATOKEO YA URAIS KENYA, CORD WANAKUSANYA USHAIDI

Bwana Raila Odinga ambaye ameangushwa katika uchaguzi mkuu wa urais inchini Kenya hii leo ametangaza kutafuta ushahidi wakutosha juu ya madai yake ya kupinga ushindi wa Bwana Uhuru Kenyatta ambaye aliibuka kidedea katika Uchaguzi huo
Raila Odinga ambaye alikuwa mgombea kwatiketi ya muungano wa chama cha Cord, pamoja na wafuasi wake wamepinga vikali juu ya ushindi wa Uhuru Kenyatta 

Akiongea na vyombo vya habari vya nchini humo, Bwana Mutula Kilonzo amesema, Cord inaendelea kukusanya vidhibitisho kutoka sehemu mbalimbali ili kupata ushahidi wa kutosha juu ya madai yao

Naye Bwana James Orengo, ambaye niwa Cord aliilalamikia Tume ya uchaguzi ya Nchi hiyo IEBC kwakukataa kuwapa baadhi ya vielelezo swala ambalo anaona litafanya wasipate baadhi ya ushahidi juu ya madai yao.

"We were denied the right to access several crucial documents by the IEBC. We therefore could not verify some documents," he said.

Aidha Bwana Orengo ameomba mahakama ameiomba mahakama kuu ya nchi hiyo kutenda haki juu ya madai yao nahatimaye haki itendeke

Hatahivyo, maeneo ya Rongai nchini humo maafisa wa uchaguzi wamefunguliwa mashtaka hii leo kwa makosa mbalimbali ikiwemo la kukutwa na karatasi za kupigia kura pamoja na box za kuifadhia kura hizo

DANADANA ZAENDELEA, MATOKEO YA URAIS KENYA


Huku wakenya wengi wakiwa na shahuku kubwa ya kujua ninani kaibu kidedea katika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo katika ngazi ya urais, danadana zimeendelea kuibuka juu ya matokeo hayo.

Uchaguzi mkuu wa Kenya ulimalizika kwa amani mnamo tarehe 4 mwezi wa machi huku kukiwa na utulivu mkubwa miongoni mwa wakenya

Aidha Kenya iliamua kutumia Teknologia mbayo ilikusudiwa kuepusha mizozo juu ya nani mshindi lakini jambo hilo lilifeli mpaka kufikia hatua ya kura kuesabiwa kwa mikono kama ilivyokuwa kwa siku za nyuma

Tayari baadhi ya wagombea wameonyesha kutokubaliana na matokeo yaawali ambayo yanaendelea kutangazwa, huku wachambuzi mbalimbali wakitangaza kutoiamini tume iliyopewa dhamana ya kusimamia zoezi zima la uesabuji kura

Hadi hivi sasa Bwana Uhuru Kenyatta anaongozi kwa kura Milioni mbili na laki saba huku Bwana Raila Odinga akina Kura Milioni mbili nalaki tano

Wakenya wameaswa kuwa watulivu huku wakisuburi matokeo hayo kutangazwa rasmi kama ilivyoahidiwa na tume ya uchaguzi ya nchi hiyo.
  

MHARIRI WA HABARI ABSOLOM KIBANDA APATAMATESO,


Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya New Habari wachapishaji wa magazeti ya Mtanzania, Dimba, Bingwa na Dimba, Absalom Kibanda amevamiwa na watu wasiojulikana akiwa ndani ya gari lake wakati akiingia nyumbani kwake Mbezi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.

Kibanda alivamiwa majira ya saa sita usiku wa kumkia leo Tar March 6 2013, akitokea kwenye majukumu yake ya kila siku. Inadaiwa kuwa alichomolewa kwene gari, akapigwa na vitu vyenye ncha kali kichwani, ametobolewa jicho lake la kushoto pamoja na kunyofolewa kucha na baadhi ya vidole na hatimaye kutupwa mbali kidogo kutoka nyumbani kwake.


Baada ya hapo wasamalia wema walijitokeza na kumkimbiza katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, ambako alipokelewa vizuri na madaktari na kumpatia tiba ya awali na baadaye kumhamishia Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI) ambako mpaka sasa anaendelea na matibabu.


Watu waliomfanyia madhara hayo, hawakuweza kuchukua kitu chochote kwenye gari ambapo kulikuwemo Laptop, simu na nyaraka zingine.
MATOKEO YA KWANZA UCHAGUZI MKUU KENYA: UHURU AONGOZA

MATOKEO YA KWANZA UCHAGUZI MKUU KENYA: UHURU AONGOZA

HAPA NI MATOKEO YAAWALI KAMA ILIVYO RIPOTIWA NA VITUO MBALI MBAKLI VYA HABARI NCHINI KENYA KULINGANA NA MASAA YALIPOKUWA YAKIRIPOTIWA NA KUTOKA VUTUO MBALIMBALI
20:55: Presidential provisional results: Uhuru Kenyatta (TNA) 521,084 (57.25%); Raila Odinga (ODM) 353,205 (38.78%); Mudavadi (UDF) 21,748 (2.39%); Kiyiapi (RBK) 3,598; Kenneth (Eagle) 4,539; Karua (Narc Kenya) 3,313; Dida (ARC) 1,793; Muite (Safina) 1,059 from 3,303 of 31,981 polling stations reporting
20:47 Presidential provisional results: Uhuru Kenyatta (TNA) 494,841 (57.26%); Raila Odinga (ODM) 336,609 (38.89%); Mudavadi (UDF) 20,147 (2.32%); Kiyiapi (RBK) 3,421; Kenneth (Eagle) 4,318; Karua (Narc Kenya) 3,161; Dida (ARC) 1,688; Muite (Safina) 1,005 from 3,199 of 31,981 polling stations reporting.
20:35 Presidential provisional results: Uhuru Kenyatta (TNA) 484,445 (57.41%); Raila Odinga (ODM) 326,917 (38.72%); Mudavadi (UDF) 19,240 (2.27%); Kiyiapi (RBK) 3,344; Kenneth (Eagle) 4,209; Karua (Narc Kenya) 3,065, Dida (ARC) 1,649; Muite (Safina) 976

20:30 Presidential provisional results: Uhuru Kenyatta (TNA) 479,740 (57.38%); Raila Odinga (ODM) 325,197 (38.84%); Mudavadi (UDF) 19,146 (2.29%); Kiyiapi (RBK) 3,325; Kenneth (Eagle) 4,175; Karua (Narc Kenya) 3,040, Dida (ARC) 1,640; Muite (Safina) 973
20:25 Uhuru Kenyatta (TNA) 473,754, (57.26%), Raila Odinga (ODM) 321,540 (38.84%), Mudavadi (UDF) 19,003
20:20 Uhuru Kenyatta (TNA) 469,221 (57.32%), Raila Odinga (ODM) 317,770 (38.82%), Mudavadi (UDF) 18,690, (2.28%), Kiyiapi (RBK) 3,265, Kenneth (Eagle) 4,098, Karua (Narc Kenya) 3,006, Dida (ARC) 1,620, Muite (Safina) 974
20:15 Presidential provisional results: Uhuru Kenyatta (TNA) 460,953 (57.40%), Raila Odinga (ODM) 311,594 (38.72%), Mudavadi (UDF) 18,251, (2.26%), Kiyiapi (RBK) 3,233, Kenneth (Eagle) 4,020, Karua (Narc Kenya) 2,959, Dida (ARC) 1,598, Muite (Safina) 955
20:05 Presidential provisional results: Uhuru Kenyatta (TNA) 445,345, Raila Odinga (ODM) 300,869, Mudavadi (UDF) 17,778, Kiyiapi (RBK) 3,103, Kenneth (Eagle) 3,889, Karua (Narc Kenya) 2,857

HALI YA UMEME NCHINI TANESCO WAKIMBILIA BENKI YA DUNIA


Tanzania seeks $100 mln World Bank loan for emergency power


DAR ES SALAAM (Reuters) - Tanzania is seeking a $100 million loan from the World Bank for emergency electricity generation after low water levels hurt output at hydropower stations in east Africa's second-biggest economy, a senior official said on Monday.

State-run power monopoly TANESCO last year negotiated a syndicated loan of 408 billion shillings from a consortium of banks led by Citibank and has received part of the funds.

The power utility is awaiting the completion of a pipeline that would allow cheaper gas-based production.

But with that still around two years away, the unreliable nature of its hydro generation is currently forcing it to spend more than two times its daily earnings on a mixture of diesel, jet A1 and heavy fuel oil for mini-generators.

"TANESCO currently spends 5.4 billion shillings a day on fuel to produce 365 megawatts of electricity from emergency power plants. The company's total daily revenue is just 2.34 billion shillings," TANESCO's acting managing director Felehesmi Mramba told Reuters in Dar es Salaam.

"It's very difficult for any company to operate in that situation," he said. The country's average power demand stands at 750 megawatts per day and peaks at around 850 megawatts. 
 
"TANESCO made a loss of around 200 billion shillings in 2012 and we expect to make a loss of 100 billion shillings in 2013. The year after that we as well expect a similar loss," he said.

Mramba said TANESCO expected to break even in 2015 after the completion of a $1.22 billion natural gas pipeline, which is expected to boost generation of cheaper power.

Although Tanzania has vast deposits of natural gas, it has been plagued by frequent power outages, which led to a slowdown in economic growth in 2011/12.

"The gas pipeline will give a major relief not only to power generation but to the entire economy of Tanzania. We currenty have 170 megawatts of idle power plants because we don't have enough natural gas supply."
KENYA WAPIGA KURA KWA AMANI HII LEO

KENYA WAPIGA KURA KWA AMANI HII LEO



WAKENYA wamepiga kura ya kiistoria hii leo, chini ya katiba mpya ya nchi hiyo, huku wapiga kura wakijitokeza kwawingi huku amani ikiwa imetawala maeneo mengi nchini humo.

Kumekuwa na msururu wawatu wengi wakisubiri kupiga kura hii leo, aidha mji wa Nairobi kuliripotiwa kuwepo kwa mistari mirefu zaidi. Vyama vya Cord na

Kenya imeonyesha njia nyingine ya kidemocrasia wakati wa uchaguzi tofauti na matazamio ya wengi kuwa kunge zuka vurugu kila mahali lakini ni eneo moja tu ndiko kuliripotiwa kuwa na mauaji ya watu 10

Matokeo ya uchaguzi huo yanatariwa kuonyeshwa baada ya masaa 24 baada ya kura kumalizika kupigwa  saa 11 jioni hii. Mpaka Blog  hii inakwenda mitamboni tayari matokeo yalianza kuonyeshwa katika baadhi ya maeneo mengi ya nchi hiyo
 

BARACK OBAMA, DAVID CAMEROON WAALIKWA KENYA



RAIS wa Marekani Barrack Obama ni miongoni mwa viongozi wakuu Duniani watakao hudhuria sikuya kuapishwa kwa rais wa awamu ya Nne nchini Kenya, ambapo inatarajiwa kuwa Machi 26 ataanza rasmi uongozi

Naye Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameroon amealikwa, Viongozi wengine ni kutoka European Union Head of State pamoja na Mkuu wa Body ya Afrika Mashariki nao watakuwepo siku hiyo

Aidha ilikuweza kushinda uchaguzi huo, Mgombea anatakiwa kupata kura kufikia 50% kwenye kura zote zitakazo pigwa nchi nzima, kwakulinganisha asilimia 25 miongoni mwa wapiga kura asilimia 47 nchi nzima

Kama mshindi hatapatikana au kura kufungana, wagombea wawili wenye kura za juu watatakiwa kurudia kura hizo baada ya siku 30 baada ya kura za kwanza zilizo pigwa. hii nikwamujibu wa Daily Nation ya nchini humo
                     ********************************

      VIPAUMBELE VYA RAILA ODINGA

kusoma wasifu (Profile)za wagombea urais kenya ingia hapa

: http://sabahionline.com/en_GB/articles/hoa/articles/features/2013/02/15/feature-01

Kategori

Kategori