urembo ukomikononi mwako

urembo ukomikononi mwako

harari wasomaji wasafuu hii, ikiwa nimara ya kwanza tunakutana. naamini ukosalama na na valentine yako ilifana sana aidha ulikuwa na mpenzi au laah ila amini kwamba hivyo ndivyo ilitakiwa iwe hata kama mambo yalienda tofauti na ulivyo panga ila unatakiwa ushukuru kwa yote, tena ukumbuke siku azifanani na waswahili wana sema huwezi kula muwa bila fundo.
haya twende kwenye mada yetu inayo sema urembao upo mikononi mwako, dhana ya urembo inamaanisha muonekano wako kwaujumla kuanzia sura, umbo,mavazi na maisha yako ya kila siku, tena kunatofauti kubwa kati ya uzuri na urembo' ndomaana nikasema urembo ukomikononi mwako, hapa namaanisha kazi nikwako kutengeneza muonekano wako kwa ujumla.
waweza kuwa haujazaliwa mzuri ila ukatokea kuwa mrembo hata kuliko aliye zaliwa mzuri kutoka na kujua nimambo gani ukifanya utaingia miongoni mwa warembo wengi unao wajua au kuwaskia.
unacho takiwa kufanya nikujiamini na kufanya mambo kwakuzingatia ngozi yako, umbo ndipo ujali sana mavazi kwakupangilia mda mahali na tukio lenyewe, na pia unachotakiwa kujua nikwamba siyo kila stail ina kufaa au kila stail ipo kwaajili yako, kunastail ambayo ikomahususi kwajili ya mtu mnene kua zingine kwajili ya mtu mwembamba au walimlenga mtu mweupe na wewe ni mweusi, pia hivi ni vitu vya kuangalia sana kwani watu wanaharibu sana katika haya.











urembo upomikononi mwako kwani loloye lina wezekana kulifanya na ukawa mrembo tena usije sema mimi sinauwezo wa kutumia vipodozi na kuvaa mavazi ya garama, jua kuwa kuna njia zote kulingana na uwezo wako binafsi aidha ukiwa maskini au tajiri.
ulimwengu wawa rembo ukokwajili yako chukua jukumu la kujua unatakiwa ufanye nini na kwawakati gani ili kuendana na mazingira yako, tena warombo tunaamini kwamba kila mtu ni mrembo kwani katika hanga hii akuna lisilo wezekana tena kilakitukinawezekana kwakuwa kazi ni kwako kujua nini kina kustaili na kipi akistaili ili kujenga na kubadilisha muonekano wako

Kategori

Kategori